Asante!!Pole mkuu kama ni TECHNO
In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
HahahaPole mkuu kama ni TECHNO
In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
in-built apps zinaconsume space sana pale zinapoupdatiwa mkuu ee??system gb 12? sio kawaida. ni simu gani?
Ndio mkuuUnatumia whatsapp? Na una kawaida ya kuangalia sana status za wenzio? Nijibu nitakwambia kitu
Sielewi tatizo ni nni maana mpaka nimefuta apps nyingi lakini nafasi haingezeki inazidi kupungua, nikaamua kurestart lakini bado tatizo liko pale palein-built apps zinaconsume space sana pale zinapoupdatiwa mkuu ee??
RestoreUnaposema kurestat unamaanisha kuizima na kuiwasha au kui restore?
Sent using Jamii Forums mobile app
nichek watsapp nikusaidie +1 904 719 7305
muone mtaalamu zaidiSielewi tatizo ni nni maana mpaka nimefuta apps nyingi lakini nafasi haingezeki inazidi kupungua, nikaamua kurestart lakini bado tatizo liko pale pale
Sent using Jamii Forums mobile app