Baada ya ku unlock simu ya sumsung imepoteza network naombeni msaada wadau namna ya kurudisha network ya simu ambayo imekuwa lockedby carrier , simu yenyewe nisumsung windows phone nawasilisha

simu ilikua locked inamaana ulikua huwezi kutumia mitandao ya tz, halafu ukaunlock umejuaje sasa kama ina tatizo la net? Maana inawezekana attempt yako ya ku unlock imefeli na network ipo locked bado vile vile.