Morogoro chiefFanya kutaja maeneo ulipoyapata naweza kupa mwanga kidogo
Makadirio gram inaweza kuwa bei ganiHiyo ni amethysist ni crystalline quartz ambayo ranging yake ni pallic blue to reddish pupple, hardness yake ni 7 Na thamani yake si kubwa sana kulingana Na ISG scale yake.