Kwa ufahamu wangu ni kweli kwa kiasi fulani na sio kweli kiasi fulani kutokana na facts zifuatazo
Unaweza kujua location (Geo-Location) ya laptop kama ina GPS services au kutumia minara ya simu (Base Radio Station). Unahitaji Internet connection kwa GPS na unahitaji active call kwa minara wakati unatrack au kutumia internet ya minara
Kujua unachokifanya unahitaji camera kwenye laptop. Mara nyingi webcam ya laptop inawaka taa wakati camera inafanya kazi so utajua. Na laptop haina eneo kubwa la view wakati wa kurecord.
Ili vitu vyote hivi vifanyike unahitaji internet, additional softwares or hardware, camera au webcam.
NB: Kuwa makini na software unazoinstall na ambazo hujainstall kwenye laptop yako au weka antivirus nzuri inayoweza kusema kama some one is spying on you or spying softwares have been installed.
Usiogope kutumia laptop yako maana kwa nchi kama yetu hii ni wachache tunaweza kufanya mambo kama hayo.