Watakimbilia wapi hawa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watakimbilia wapi hawa?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Donyongijape, Sep 15, 2010.

 1. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2010
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Hivi imetokea sasa kwamba CHADEMA hiyoo imechukua nchi,hivi vyombo vya habari hasa vya serikali TBC,Habari leo vitajificha wapi? maana waliyekuwa wakimponda na kumrushia vijembe ndio amekuwa bosi! Sipati picha.
   
 2. P

  PapoKwaPapo JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2010
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 380
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  wataanza kujikomba kwa Slaa, au uanategemea nini zaidi aya hapo?
   
 3. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2010
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Na sijui wanaanza-anzaje kujikomba! aisee
   
 4. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #4
  Sep 15, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Waanze mara ngapi?!... Pole pole tunaona washaanza kubadilika. Coverage ya vyama vyotevyote inaanza kuongezeka na neutrality inajitokeza!! But all this goes to show how unprincipled these people are. Lakini maji yalishamwagika na historia itawahukumu vilivyo, maana naona wanasahau kuwa hamna kinachofutika kwenye 21st century!!
   
Loading...