Watakaojaribu kudumaza Safari ya Rais Samia kuanzia 2021 kuelekea 2030 ni wasaliti, yafaa washughulikiwe mapema

Sisi tulio wengi hatujali Utanganyika na Uzanzibar. Wewe na mabwege wenzako kaeni pembeni mtupishe tujenge nchi.
Nchi haiwezi kujengwa na waimba mapambio, wachumia tumbo na wanafiki kama wewe!

Nchi inajengwa na wazalendo na walipa kodi kama sisi, lakini mwisho wa siku kodi zetu zinaishia kwenye siasa za kuwaimarisha raia wa nchi jirani kututawala kupitia Muunganobwa kinafiki.
 
Mkimaliza kwenye mambo ya Utanganyika na Unzanzibar halafu mtaanza kukimbilia kwenye ukabila! Mtaanza kulalamika rais sio Msukuma.
 
Mkimaliza kwenye mambo ya Utanganyika na Unzanzibar halafu mtaanza kukimbilia kwenye ukabila! Mtaanza kulalamika rais sio Msukuma.
Mbona hata hivyo imeshapitishwa tayari! Rais ajaye ni Msambaa kutoka Tanga! Wilaya siitaji. Wasukuma msubiri miaka 100 ijayo. Hakuna namna.
 
Watanzania wenzangu,

Aliyoyafanya kwa muda mfupi aliokaa madarakani ni makubwa na ameishangaza dunia

Kwa kutambua hilo sisi Watanzania tumeamua kwenda nae hadi 2030 na huo ndiyo utamaduni wetu

Juhudi zozote za kufifisha mpango huo mwema ni usaliti mkubwa unaotakiwa kushughulikiwa mapema kadri inavyowezekana

Tunataka Dunia nzima Itambue Kuwa Sisi Watanzania Kwa Umoja Wetu Tumeamua kuwa Mama ataendelea kutuongoza hadi 2030

Mama Samia Anao:

(1)Uwezo Wa Kutuletea Maendeleo Anao
(2)Nia Ya Kutuletea Maendeleo Anayo
(3)Sababu Za Kutuletea Maendeleo Anazo

KaziIendelee

Paza Sauti Yako Ewe Mtanzania - 2021-2030 ni zamu ya Rais Samia Suluhu Hassani
Kwa umoja na mizimu ya wale waliozamishwa bahari ya hindi huyu akanyamaza hadi leo
Kwa umoja na familia na wanachama wa mwenyekiti mbowe aliyebambikiwa cheo
Kwa umoja na wale vilaza waliokubali kuongozwa na masalia ya lile jambazi mwendazake
Kwa umoja na majizi anayoyalinda kila kukicha
Kwa umoja na wale walioamua kukataa kutumia vichwa toka jambazi mkuu aliyekufa awanyang'anye hadi leo.
Huyu ni kilaza aliyeruhusu nchi ikatekwe na madon wa Jakaya? Nchi imepigwa photocopy na rais in Jakaya!
Yule Mama aliyeongea nasi March 19 siye huyu tuliye naye!
KWA HAYO HAPO JUU MAMA HATAKAA APATE KURA ZA MWANANCHI.
TUMESHTUKA TUME HURU NDIYO DAWA!
 
Watanzania wenzangu,

Aliyoyafanya kwa muda mfupi aliokaa madarakani ni makubwa na ameishangaza dunia

Kwa kutambua hilo sisi Watanzania tumeamua kwenda nae hadi 2030 na huo ndiyo utamaduni wetu

Juhudi zozote za kufifisha mpango huo mwema ni usaliti mkubwa unaotakiwa kushughulikiwa mapema kadri inavyowezekana

Tunataka Dunia nzima Itambue Kuwa Sisi Watanzania Kwa Umoja Wetu Tumeamua kuwa Mama ataendelea kutuongoza hadi 2030

Mama Samia Anao:

(1)Uwezo Wa Kutuletea Maendeleo Anao
(2)Nia Ya Kutuletea Maendeleo Anayo
(3)Sababu Za Kutuletea Maendeleo Anazo

KaziIendelee

Paza Sauti Yako Ewe Mtanzania - 2021-2030 ni zamu ya Rais Samia Suluhu Hassani
Vitabu vya dini vinasema. Ni marufuku kumsemea mwenzio ya moyoni mwake.
 
Back
Top Bottom