Watakaojaribu kudumaza Safari ya Rais Samia kuanzia 2021 kuelekea 2030 ni wasaliti, yafaa washughulikiwe mapema

Samia ni rais wa bahati mbaya. Yaani mzanzibar kutawala Tanganyika labda mtanganyika afe na yeye ashike kwa muda apige deiwaka.
Deiwaka yake inaishia 2025, kama kanogewa itamtokea puani. Hivi huyo bibi hamumuonei huruma na uzee wote huo hadi make up inadunda????!!!
Yaliyotokea Ghana, zambia nigeria malawi yatajitokeza 2025.
Nchi hizo marais wao walifia madarakani akashika raisi wa bahati mbaya kusogezea siku kuelekea uchaguzi mkuu, uchaguzi mkuu ukafanyika chama tawala kikakataliwa vibaya sana na wananchi.
Ishu ya machinga na ukosefu wa ajira nchi inakwenda kuibamizwa vibaya sana ccm.
 
Safari ishakufa kabla ya kuanza. 2025 sukuma gang tunamaliza mchezo kikatiba kabisa bila kelele. Mstaafu wa 2025.
 
Serikali moja yenye majimbo mawili, la Tanganyika na Zanzibar. Kila jimbo linakuwa na Gavana wake ambaye atasimamia mambo yote ndani ya jimbo kasoro Majeshi na UT, mambo ya nje na uteuzi wa majaji.
Nchi hii inahitaji raia wema, wazalendo na wasema kweli kama mimi. Muungano wetu ndiyo chanzo cha huu mgawanyiko! Haiwezekani Wazanzibar wajitambulishe kwa Uzanzibar wao, halafu Watanganyika ndiyo tuonekane ni Watanzania.

Kama vipi kila nchi ijitawale! Au turudi kwenye Rasimu ya Katiba ya Jaji Warioba, inayo unga mkono uanzishwaji wa Serikali tatu. Serikali ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Serikali ya Tanganyika, na ile Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar!

Na hivyo Serikali ya Tanganyika iongozwe na Watanganyika wenyewe, ile ya Zanzibar iendelee kuongozwa na Wazanzibar wenyewe! Na Serikali ya Muungano iongozwe kwa kupokezana. Rais akiwa Mzanzibar, Makamu awe Mtanganyika. Na Baada ya mihula miwili kupita, Tanganyika nayo inashika madaraka.
 
Watanzania wenzangu,

Aliyoyafanya kwa muda mfupi aliokaa madarakani ni makubwa na ameishangaza dunia

Kwa kutambua hilo sisi Watanzania tumeamua kwenda nae hadi 2030 na huo ndiyo utamaduni wetu

Juhudi zozote za kufifisha mpango huo mwema ni usaliti mkubwa unaotakiwa kushughulikiwa mapema kadri inavyowezekana

Tunataka Dunia nzima Itambue Kuwa Sisi Watanzania Kwa Umoja Wetu Tumeamua kuwa Mama ataendelea kutuongoza hadi 2030

Mama Samia Anao:

(1)Uwezo Wa Kutuletea Maendeleo Anao
(2)Nia Ya Kutuletea Maendeleo Anayo
(3)Sababu Za Kutuletea Maendeleo Anazo

KaziIendelee

Paza Sauti Yako Ewe Mtanzania - 2021-2030 ni zamu ya Rais Samia Suluhu Hassani
Samia huyu aliyekili mwenyewe kuwa awezi kuvaa viatu vya Magufuri,kuwa ni vikubwa sana.Mnaomtetea huyu Mama mnakazi kubwa.
 
Nchi hii inahitaji raia wema, wazalendo na wasema kweli kama mimi. Muungano wetu ndiyo chanzo cha huu mgawanyiko! Haiwezekani Wazanzibar wajitambulishe kwa Uzanzibar wao, halafu Watanganyika ndiyo tuonekane ni Watanzania.

Kama vipi kila nchi ijitawale! Au turudi kwenye Rasimu ya Katiba ya Jaji Warioba, inayo unga mkono uanzishwaji wa Serikali tatu. Serikali ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Serikali ya Tanganyika, na ile Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar!

Na hivyo Serikali ya Tanganyika iongozwe na Watanganyika wenyewe, ile ya Zanzibar iendelee kuongozwa na Wazanzibar wenyewe! Na Serikali ya Muungano iongozwe kwa kupokezana. Rais akiwa Mzanzibar, Makamu awe Mtanganyika. Na Baada ya mihula miwili kupita, Tanganyika nayo inashika madaraka.
Wewe tatizo lako ni huyu rais wa sasa kuwa madarakani. Unajitahidi sana kupindisha maneno na kujificha kwenye kichaka cha uzalendo na katiba mpya lakini nia yako inaonekana wazi.

Ulivyoanza kuandika haukuanza kujadili mambo ya katiba, bali ulitaka uongozi wa SSH uishie 2025. Mama Samia asipogembea 2025 haina maana kuwa katiba mpya itapatikana. Pia, haina maana kuna uhakika rais ajaye atatokea bara.

Kauli zako zilianza kubadilika baada ya mimi kukuvua nguo hadharani kwa kutaja uongo wako kama sasa hivi Tanzania inaongozwa na raia asiye Mtanzania. Siamini hata neno moja eti kuwa wewe ni raia mwema na mzalendo. Raia mwema hasambazi propaganda za uongo ambazo zinaweza kuamsha hisia za watu na kuleta machafuko.

Usalama wa raifa mpoo?! Mbona mnawaacha watu kama hawa wafanye wanavyotaka na kuleta machafuko nchini? Kazi yenu si kulinda usalama wa taifa? Mbona hizi propaganda zinazohatarisha usalama wa taifa zinaachwa bila kudhibitiwa?
 
Una shida mahali wewe bila shaka! Ni kweli mimi nikiwa kama Mtanganyika, sifurahii kuongozwa na raia kutoka nchi nyingine!

Na uache kulia lia na kunitishia nyau! Eti usalama wa Taifa mpoo!! Pumbavu. Tanganyika ni kwa ajili ya Watanganyika. Kama ilivyo Zanzibar, ambayo nayo ipo kwa ajili ya Wazanzibar. Hivyo usinipangie cha kusema.
 
Watanzania wenzangu,

Aliyoyafanya kwa muda mfupi aliokaa madarakani ni makubwa na ameishangaza dunia

Kwa kutambua hilo sisi Watanzania tumeamua kwenda nae hadi 2030 na huo ndiyo utamaduni wetu

Juhudi zozote za kufifisha mpango huo mwema ni usaliti mkubwa unaotakiwa kushughulikiwa mapema kadri inavyowezekana

Tunataka Dunia nzima Itambue Kuwa Sisi Watanzania Kwa Umoja Wetu Tumeamua kuwa Mama ataendelea kutuongoza hadi 2030

Mama Samia Anao:

(1)Uwezo Wa Kutuletea Maendeleo Anao
(2)Nia Ya Kutuletea Maendeleo Anayo
(3)Sababu Za Kutuletea Maendeleo Anazo

KaziIendelee

Paza Sauti Yako Ewe Mtanzania - 2021-2030 ni zamu ya Rais Samia Suluhu Hassani
Hamna kitu pale. Hana balls za kuwa Rais.
 
Duh...nguvu nyingi mno zinatumika...Kuna bango limewekwa mahali..picha kubwa na maandishi: Ana maono.

Duh...anyway..
North Korea style..

Kwangu Mimi ingetosha kuandika: kazi iendelee bila kuandika Ana maono.

Nahisi watu wamejipanga kumchafua our president..mbaya Sana kwa kweli...
 
Watanzania wenzangu,

Aliyoyafanya kwa muda mfupi aliokaa madarakani ni makubwa na ameishangaza dunia

Kwa kutambua hilo sisi Watanzania tumeamua kwenda nae hadi 2030 na huo ndiyo utamaduni wetu

Juhudi zozote za kufifisha mpango huo mwema ni usaliti mkubwa unaotakiwa kushughulikiwa mapema kadri inavyowezekana

Tunataka Dunia nzima Itambue Kuwa Sisi Watanzania Kwa Umoja Wetu Tumeamua kuwa Mama ataendelea kutuongoza hadi 2030

Mama Samia Anao:

(1)Uwezo Wa Kutuletea Maendeleo Anao
(2)Nia Ya Kutuletea Maendeleo Anayo
(3)Sababu Za Kutuletea Maendeleo Anazo

KaziIendelee

Paza Sauti Yako Ewe Mtanzania - 2021-2030 ni zamu ya Rais Samia Suluhu Hassani
Acha kutisha watu Mungu anajuwa who is next hizo nyingine kelele tu... Hujuwi kitu
 
Kiufupi kunautulivu muda huu tumetoka kwenye msiba ila ikisha isha arobain ndio wenye nchi wataamua.
 
Watanzania wenzangu,

Aliyoyafanya kwa muda mfupi aliokaa madarakani ni makubwa na ameishangaza dunia

Kwa kutambua hilo sisi Watanzania tumeamua kwenda nae hadi 2030 na huo ndiyo utamaduni wetu

Juhudi zozote za kufifisha mpango huo mwema ni usaliti mkubwa unaotakiwa kushughulikiwa mapema kadri inavyowezekana

Tunataka Dunia nzima Itambue Kuwa Sisi Watanzania Kwa Umoja Wetu Tumeamua kuwa Mama ataendelea kutuongoza hadi 2030

Mama Samia Anao:

(1)Uwezo Wa Kutuletea Maendeleo Anao
(2)Nia Ya Kutuletea Maendeleo Anayo
(3)Sababu Za Kutuletea Maendeleo Anazo

KaziIendelee

Paza Sauti Yako Ewe Mtanzania - 2021-2030 ni zamu ya Rais Samia Suluhu Hassani
Tuoneshe katiba iliyokupa mamlaka hayo vinginevyo unataka kuinajisi katiba. Raid atachaguliwa Kwa mujibu wa latina na sio kwa miemko ya mtu. Acha raid afanye kazi take watanzania wanaona atakayekuja atachaguliwa na wananchi muda ukifika.
 
Watanzania wenzangu,

Aliyoyafanya kwa muda mfupi aliokaa madarakani ni makubwa na ameishangaza dunia

Kwa kutambua hilo sisi Watanzania tumeamua kwenda nae hadi 2030 na huo ndiyo utamaduni wetu

Juhudi zozote za kufifisha mpango huo mwema ni usaliti mkubwa unaotakiwa kushughulikiwa mapema kadri inavyowezekana

Tunataka Dunia nzima Itambue Kuwa Sisi Watanzania Kwa Umoja Wetu Tumeamua kuwa Mama ataendelea kutuongoza hadi 2030

Mama Samia Anao:

(1)Uwezo Wa Kutuletea Maendeleo Anao
(2)Nia Ya Kutuletea Maendeleo Anayo
(3)Sababu Za Kutuletea Maendeleo Anazo

KaziIendelee

Paza Sauti Yako Ewe Mtanzania - 2021-2030 ni zamu ya Rais Samia Suluhu Hassani
Naunga mkono hoja maana matunda ya mama tunayaona mpuuzi yeyote ashughulikiwe
 
Watanzania wenzangu,

Aliyoyafanya kwa muda mfupi aliokaa madarakani ni makubwa na ameishangaza dunia

Kwa kutambua hilo sisi Watanzania tumeamua kwenda nae hadi 2030 na huo ndiyo utamaduni wetu

Juhudi zozote za kufifisha mpango huo mwema ni usaliti mkubwa unaotakiwa kushughulikiwa mapema kadri inavyowezekana

Tunataka Dunia nzima Itambue Kuwa Sisi Watanzania Kwa Umoja Wetu Tumeamua kuwa Mama ataendelea kutuongoza hadi 2030

Mama Samia Anao:

(1)Uwezo Wa Kutuletea Maendeleo Anao
(2)Nia Ya Kutuletea Maendeleo Anayo
(3)Sababu Za Kutuletea Maendeleo Anazo

KaziIendelee

Paza Sauti Yako Ewe Mtanzania - 2021-2030 ni zamu ya Rais Samia Suluhu Hassani
Mkishiba mabarage ya lumumba mna jamba hovyo ovyo
 
Una shida mahali wewe bila shaka! Ni kweli mimi nikiwa kama Mtanganyika, sifurahii kuongozwa na raia kutoka nchi nyingine!

Na uache kulia lia na kunitishia nyau! Eti usalama wa Taifa mpoo!! Pumbavu. Tanganyika ni kwa ajili ya Watanganyika. Kama ilivyo Zanzibar, ambayo nayo ipo kwa ajili ya Wazanzibar. Hivyo usinipangie cha kusema.
Mama yetu mpendwa ni raia wa Tanzania na sisi wengi kutoka bara tunampenda. Tungependa aongoze mpaka 2030 au hata na zaidi. Nyie wachanche mtupishe mama aendelee kutujengea nchi. Nyie mnayemuonea donge mtaendelea sana kuteseka kwasababu atagombea tena 2025.
 
Hata akigombea, bado atabakia tu kuwa Mzanzibar! Na siyo Mtanganyika (Mtanzania - maana hili ndilo jina mbadala baada ya kufutwa kwa jina la Tanganyika)
 
Sisi tulio wengi hatujali Utanganyika na Uzanzibar. Wewe na mabwege wenzako kaeni pembeni mtupishe tujenge nchi.
 
Back
Top Bottom