Wataka siri kwenye email? Jaribu ProtonMail

Wataka siri kwenye email? Jaribu ProtonMail

Ozzie

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2007
Posts
3,217
Reaction score
1,273
Imekuwa kawaida kwa emails za watu kubambwa katika hatua mbalimbali hadi kupitia kwa servers. Kuna hii email protonmail.ch au protonmail.com inakuepusha na shida hizo. Ukitumiwa email hakuna cha servers au protonmail wenyewe wanaweza soma ulichoandikiwa au ulichoandika. Bahati nzuri unaweza tuma email kwenda kwa emails nyingine na kuifunga, ila ukampa password ili aweze kuisoma kupitia inbox yake. Protonmail ina password 2. Ya kufungua email ambayo hata Protonmail wenyewe huifahamu, lakini na ya kufungulia inbox ambayo ProtonMail wenyewe huwa hawaifahamu.
Siwapi Promo, lakini unaweza ukaomba kujiunga nao. Maombi hutumia kama wiki 2 hadi kuwa approved...
Kuna presentation yao kupitie TED waweza itazama hapa: Andy Yen: Think your email's private? Think again | Talk Video | TED.com
 
Last edited by a moderator:
Proton za simu hamna yani unatuma message au unapiga na haipitiee kwenye server?
 
Back
Top Bottom