Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,869
Straight talk kidogo. Iweje kula tigo ya mwanamke kushabikiwe sana (tena ni sifa kwa wanaume wengi huko vijiweni hata humu mitandaoni) lakini tigo ya mwanaume ni laana na watu wako tayari hata kuua? Wakati vitabu vya dini vinasema kuwa yote ni machukizo kwa Bwana? Ni matokeo ya mfumo dume na nguvu za kijinsia? Ni unafiki au nini?
Siungi mkono mashoga kwa nguvu zote na naamini ni dhambi lakini hii double standard huwa inanishangaza. Ni kipi kinachoufanya m.kundu wa mwanamke uwe halali lakini wa mwanaume uwe laana? Mungu na Atusaidie waja wake kwa sababu tunaishi katika kipindi cha ajabu kabisa!
Na huyu dogo akiamua kuwataja hao wateja wake utashangaa. Utakuta waheshimiwa kibao na si ajabu hata viongozi wa dini wamo. Na inavyoonekana ukiona kiongozi anapigana kufa na kupona kupambana na ushoga basi mara nyingi usije kushangaa kuwa naye yumo. Sijui ni ile sense of guilty. Sijui ni nini. Marehemu askofu Eddie Long na Pastor Ted Haggard ni mifano mizuri. Hawa jamaa walikuwa vocal sana mpaka wanaendesha semina za kusaidia kuzuia vijana wasijiingize katika ushoga na wakipanda mimbarini moto ni ule ule. Halafu wote wakaja kuangushwa na ushoga huo huo.
Tungeacha unafiki na kuamua kupambana na tatizo hili inavyotakiwa pengine tungeweza kufanikiwa. Wazazi wenye watoto wa kiume aisee kazi mnayo tena mnaowapeleka boarding school kuanzia primary aisee wakitoka wazima mpaka university itabidi mkatambike. Dunia imebadilika sana !!!