Wataalamuwa kutengeneza beat na wapenzi wa muziki njooni

0ozg Tz

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
4,159
11,100
Kuna huu wimbo wa Jay Helody-huba hulu.

Sound yake nakuwa sielewi elewi, kila nikijaribu kuuweka naona unatoa sound ya ajabu, najaribu ku-equalizer lakin bado sound inayotoka haisound poa.

Sasa nazani labda itakuwa producer alikosea au studio ilikuwa na vyombo vya kawaida.

Unasound kama umeweka speaker kwenye ndoo.
 
Kuna huu wimbo wa Jay Helody-huba hulu.

Sound yake nakuwa sielewi elewi, kila nikijaribu kuuweka naona unatoa sound ya ajabu, najaribu ku-equalizer lakin bado sound inayotoka haisound poa.

Sasa nazani labda itakuwa producer alikosea au studio ilikuwa na vyombo vya kawaida.

Unasound kama umeweka speaker kwenye ndoj
Jey helody msanii mpya au
 
Nyimbo nyingi za bongo mastering yake mbovu, nyingine zina distortion lakini hatujali zina hit mtaani.

Oiii baba weka baharia 😂 we kama siyo makelele ni nini.
Mastering alikuwa anaiweza P Funk tu! Sikiliza nyimbo 100 za P Funk utashangaa hazijapishana quality kabisa! Weka volume 15!

Weka nyimbo kumi tu za Eyo Laizer! Utanipa majibu! Weka volume 15 ile ile! Utagundua kuna nyimbo za laizer zina makelele sana zingine zimepoa kidogo
 
Ni kwel unayosema,kuna nyimbo za zaman znakita vzur kwenye speaker kuliko hata za sasa
 
Back
Top Bottom