Wataalamu wa uchumi wacharuka; Wasema VAT katika Mabenki na Utalii ni anguko la uchumi

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,299
2,000
Indicators katika uchumi na ajira sio nzuri, Wachumi wagundua

VAT katika Mabenki na Utalii ni anguko la uchumi....Huko baadae asitafutwe mchawi kwa kuunda kamati...

Experts urge govt to scrap VAT on tourism, banking
The The government has been advised to remove value-added tax (VAT) on tourism and banking in the coming financial year.

Tax experts said banks and tourism businesses had been hit by VAT that was introduced last year.

The director and partner for tax services at PricewaterhouseCoopers, Mr Joseph Lyimo, said reducing or exempting VAT would spur growth in banks and tourism business. He was speaking during the monthly meeting organised by the CEO Roundtable of Tanzania for business leaders.

“There is a liquidity squeeze in the market. Some banks have high non-performing loans, three lenders have close up shop and businesses generally are failing. Business confidence has fallen in hotels and tourism.” Mr Lyimo said although the issues had not appeared in the finance bill read by Finance and Planning minister Philip Mpango he wished the matters included in the Finance Act.

According to him, the financial sector is a hope for operators of small, medium and large enterprises. However, CEOs are happy with some tax measures including zero rating VAT on ancillary transport services and VAT exemption on capital goods for key industries.

CEO Roundtable chairman Ali Mufuruki said tax reforms would create a conducive environment for investors. “We believe the removal of VAT on ancillary transport services will encourage landlocked countries to utilise Tanzania’s ports once again,” he said. “

The introduction of VAT exemption on capital goods in key industries will encourage local investments.” Presenting his budget in Parliament in Dodoma last week, Finance and Planning minister Philip Mpango said zero-rating VAT on ancillary transport services in relation to goods in transit was aimed at reducing the costs incurred by transporters when using the local ports and make them affordable and competitive.

“It will therefore increase employment opportunities and government revenue.”


Source: Experts urge govt to scrap VAT on tourism, banking

---------
Utalii ni export product na inayumba sana...Ilipaswa utalii ukue kwa kasi kubwa, utalii ni soko kubwa la Mazao ya kilimo na ni chimbuko kubwa la Ajira za haraka

HAPA NDIO SERIKALI YA CCM INAANGUKA NA ITAHOJIWA, ajira ngapi imetengenezwa? Kizazi cha wasomi kitawauliza

Wasio soma walio vijijini watauliza soko la Mazao yao
 

Brigedia Chan-ocha

JF-Expert Member
Mar 7, 2014
1,211
2,000
Hiyo habari ni ya lini?

Watalii hawaangalii tax bali huduma nzuri na vivutio vzr, ndio maana kwa mwaka 2016-2017 mapato ya utalii yamepanda maradufu sana.

Hiyo tozo ya Mabank iachwe hivo hivo, tayari Bank kuu imisha-shusha kiwango cha akiba ya fedha za mabank zilizopo Bank Kuu, hivyo kile kiasi chote kimepewa mabank.

Sasa mnataka matajiri au wafanyabiashara wasilipe hii kodi? au wafanyakazi? hata mimi nakatwa hii tozo,

labda usema kuwa, tukishapata chanzo kingine cha mapato mfano, kuyabana haya makampuni ya madini kulipa kodi na kuondoa misamaha ya kijinga migodini basi hicho kiasi kitafidia hii tozo kama ikifutwa.

Cha msingi tuungane pamoja, bado Mgodi wa mwadui, nao panga la serikali likifika na kuwabana kisawa-sawa basi tutapata vyanzo zaidi vya mapato hivo kufikiria kufuta au kupunguza hizi tozo
 

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,299
2,000
Watalii hawaangalii tax bali huduma nzuri na vivutio vzr, ndio maana kwa mwaka 2016-2017 mapato ya utalii yamepanda maradufu sana. Acha propaganda ...Weka figure za 2015 - 2016 na 2016-2017
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom