Ram 2gbmkuu hapo kwenye windows 10 specs za laptop yako unaweza kuzitaja?
na ubuntu ina store yake ya software just one click una install na ku remove apps
How to Easily Add and Remove Programs in Ubuntu 14.04
ndio mkuu unapakua tu bila ku upgrade.je naweza kupakua app bila ku upgrade hii 13.10?
pengine hapo gpu ni tatizo hujaipatia driver yake, cheki site ya manufacture kwq ajili ya driver za gpu.Ram 2gb
processor Intel (R) core (TM) Duo CPU P8700 2.53GHz
HDD 230
Ubuntu 13.10??kwanii unatumia hiyo version?for the record official support ilisitishwa bade ya mizen 6 took kuwa released! Ubuntu ina Long Term Support (LTS) releases ambazo zinakua na official 5 years support,,Kama ni novice,ni vizur kuinstall LTS version mostly likely kuepusha matatizo ambayo kuyatatua (as a novice)ni ngumu na community haitoi official support(help),,its best ku upgrade to v14.04 or most likely v16.04natumia ubuntu 13.10
Odds ni kwamba utakua na tatizo na network configuration zako,,unapta error gani??lakini kila nikijaribu naambiwa net ipo chini wakati kwenye windows 10 napakua vitu bila shida
shukrani sana mkuu leo nimekomaa kodwnload 16.04 sasa nateleza tu kweli ile 13,10 ni jipuUbuntu 13.10??kwanii unatumia hiyo version?for the record official support ilisitishwa bade ya mizen 6 took kuwa released! Ubuntu ina Long Term Support (LTS) releases ambazo zinakua na official 5 years support,,Kama ni novice,ni vizur kuinstall LTS version mostly likely kuepusha matatizo ambayo kuyatatua (as a novice)ni ngumu na community haitoi official support(help),,its best ku upgrade to v14.04 or most likely v16.04
Odds ni kwamba utakua na tatizo na network configuration zako,,unapta error gani??
Mkuu mimi nilikuwa natumia window 7 baadaye microsoft walitoa ofa ya kuupgrade kwenda window 10 sasa sijajua wakati naupgrade imeingia na virus maana iko nzito Sana na antvirus nimeupdate ile window defender lakini niki scani inaonyesha hakuna virus inaweza kuwa ni tatizo gani?mkuu hapo kwenye windows 10 specs za laptop yako unaweza kuzitaja?
na ubuntu ina store yake ya software just one click una install na ku remove apps
How to Easily Add and Remove Programs in Ubuntu 14.04
NATYPE WAPI MKUU sudo apt install synapticMkuu, nimeona unajaribu kuinstall 16:04, jaribu kuinstall software manage inaitwa "Synaptic Package Manager". Hii unaweza kuinstall kupitia Software Center. Kama hiyo itashindikana, tumia TERMINAL app.
Hapo una type;
sudo apt install synaptic (press enter) acha imalize.
Ikimaliza una fungua hiyo synaptic app ambayo itakuwezesha kuistall app zozote zilizo kuwepo kwenye repository ya ubuntu.
Jaribu kugoogle Ubuntu repository, kujifunza zaidi jinsi ya kuistall app ambazo huzipati kwenye Ubuntu repositories.
1. hakikisha ume update driver zote muhimuMkuu mimi nilikuwa natumia window 7 baadaye microsoft walitoa ofa ya kuupgrade kwenda window 10 sasa sijajua wakati naupgrade imeingia na virus maana iko nzito Sana na antvirus nimeupdate ile window defender lakini niki scani inaonyesha hakuna virus inaweza kuwa ni tatizo gani?
Bonyeza Ctrl - Alt + T itafunguka terminal ndio uandike hiyo code hapo aliyokuambia.NATYPE WAPI MKUU sudo apt install synaptic