wataalamu wa security in phone

wataalamu wa security in phone

Walas Ba

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2012
Posts
3,399
Reaction score
1,746
Kuna phone app inaitwa @McAfee security nimeipakua kwenye android yangu leo.Nimejarib kui2mia na nimeona inanifaa sana,lakin tatizo linakuja wao wanatoa only 7days kui2mia trial.Swali hamna namna yakuchakachua kama mnavyojua tatizo ni namnaya kunua hiyo ful vasion weng wetu hatuna paypal.Maana kuna sehem nimeenda wakaniuliza subscrition code nikakosa
Naomben msaada wenu,
Thanks
 
Hakuna haja ya hiyo AV, install Apps kutoka Google play utakuwa salama.
 
Yaani hata hiyo mcafee security iko google play,na iko poa sana kuliko avg au avast!
Mfano hii app inalinda phone from theft,block and send mess kwa watu wako endpo simu itaibiwa.
Pia kikubwa zaid unaweza weka pasiword endapo m2 akiiba hawez uninstal.
Hivyo kusababisha kuweza kuitafta k2mia GPS@isaac,and Kang KINGA
 
Last edited by a moderator:

avg ni free software inafanya tracking,message lock,alerting,kama simu imeibiwa, sa kuliko uhangaike na hiyo trial version si bora uweke avg ambayo pia ni antivirus,
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom