Mim si mtaalamu lakin najua kwamba ukitaka kubadili rangi ya nyumba yako Always lazima upige nyeupe kwanza alafu rangi zingine ndo zije ambayo unataka kama ni redi au maron au zingine unazojua wew....
Mkuu wew ni Mkenya au Ni Mzungu mbona nimeandika kiswahili safi... Lazima upige nyeupe kwanza alafu ndo uweke hiyo broken white unayosema alafu hizo broken white unapiga nyumba nzima au jikoni tu!! mana naonaga white broken ni jikoni sana sana