Sijawahi kuona gari ya 4wheel yenye CC pungufu ya 1500 labda terios kid... Na kama zipo basi ni chache sana... BTW mpaka gari ishindwe kupanda mlima basi hapo ujue huo mlima umesimama dedeNinahitaji kununua gari dogo LA kutembelea.Naishi Maeneo ya Bonyokwa Dar es salaam,ambapo kuna milima milima mingi.Binafsi nyumba yangu IPO kwenye milima ambapo nahofia gari isiyo na nguvu huenda ikashindwa kupanda.
Naomba wenye nagari mnisaidie Aina nzuri ya gari.Binafsi napendelea gari yenye 4 wheel, Lakini sijui changamoto zake. Naomba ushauri wenu.Gari sipendi izidi CC 1500 maana uwezo wa kuihudumia hasa mafuta ni mdogo. Naombeni ushauri wenu hasa kwenye magari ya 4 wheel drive au aina ya gari yenye kuhimili mazingira ninayoishi.
Ninahitaji kununua gari dogo LA kutembelea.Naishi Maeneo ya Bonyokwa Dar es salaam,ambapo kuna milima milima mingi.Binafsi nyumba yangu IPO kwenye milima ambapo nahofia gari isiyo na nguvu huenda ikashindwa kupanda.
Naomba wenye nagari mnisaidie Aina nzuri ya gari.Binafsi napendelea gari yenye 4 wheel, Lakini sijui changamoto zake. Naomba ushauri wenu.Gari sipendi izidi CC 1500 maana uwezo wa kuihudumia hasa mafuta ni mdogo. Naombeni ushauri wenu hasa kwenye magari ya 4 wheel drive au aina ya gari yenye kuhimili mazingira ninayoishi.
| DAR ES SALAAM + Clearing | $1,710 |
| Make | Subaru |
| Model | Impreza |
| Car type | Station Wagon |
| Year | 2010 |
| Doors | 5 |
| Seats | 5 |
| Mileage | 49000 |
| Engine size (cc) | 1490 |
| Fuel | Petrol |
| Color | Black |
| Seller | Owner |
| Warranty: | Yes |
| New: | Yes |
Zipo Mkuu.Sijawahi kuona gari ya 4wheel yenye CC pungufu ya 1500 labda terios kid... Na kama zipo basi ni chache sana... BTW mpaka gari ishindwe kupanda mlima basi hapo ujue huo mlima umesimama dede
Jaribu Suzuki Jimny kama mfuko unaruhusu au Mitsubishi Pajero Jr au MiniNinahitaji kununua gari dogo LA kutembelea.Naishi Maeneo ya Bonyokwa Dar es salaam,ambapo kuna milima milima mingi.Binafsi nyumba yangu IPO kwenye milima ambapo nahofia gari isiyo na nguvu huenda ikashindwa kupanda.
Naomba wenye nagari mnisaidie Aina nzuri ya gari.Binafsi napendelea gari yenye 4 wheel, Lakini sijui changamoto zake. Naomba ushauri wenu.Gari sipendi izidi CC 1500 maana uwezo wa kuihudumia hasa mafuta ni mdogo. Naombeni ushauri wenu hasa kwenye magari ya 4 wheel drive au aina ya gari yenye kuhimili mazingira ninayoishi.
Toyota Cami sina uhakika nayo lakini Vitz za CC 1290 kuna baadhi zina 4 wheel.Jaribu kugoogle be forward au mtandao wowote wa kuuza Magari.Toyota Cami - 1350cc ila sijawahi kuona yenye 4WD.
Mini hapana lakini hata Mitsubishi Pajero nahisi CC zake ni kubwa.Jaribu Suzuki Jimny kama mfuko unaruhusu au Mitsubishi Pajero Jr au Mini
Escudo zile za 1994 zina bonge la fourwhile (4L na 4H).....Sijawahi kuona gari ya 4wheel yenye CC pungufu ya 1500 labda terios kid... Na kama zipo basi ni chache sana... BTW mpaka gari ishindwe kupanda mlima basi hapo ujue huo mlima umesimama dede
Mkuu njoo nikuuzie Rav4Mini hapana lakini hata Mitsubishi Pajero nahisi CC zake ni kubwa.
Mkuu Rav 4 CC zake kubwa.Naogopa unywaji mafuta ijapokuwa naipenda.Mkuu njoo nikuuzie Rav4
Hii Subaru imekaa vizuri.Offer yake kiasi gani?Mitsubish GDI
DAR ES SALAAM + Clearing $1,710
CC-1800
View attachment 1170358
View attachment 1170413
cc--1490
Make Subaru Model Impreza Car type Station Wagon Year 2010 Doors 5 Seats 5 Mileage 49000 Engine size (cc) 1490 Fuel Petrol Color Black Seller Owner Warranty: Yes New: Yes
12 milionHii Subaru imekaa vizuri.Offer yake kiasi gani?
Cc 1490 ndo 1500Zipo Mkuu.
Nimejaribu kutembelea link zenye kuuza magari kama be-forward,nimezikuta IST za CC 1490 zipo za 4 wheel.
Soma vizuri maelekezo yangu.Nimesema isizidi CC 1500.Yaani kwa lugha nyingine nahitaji gari yoyote yenye kati ya CC 1 hadi 1500. Ila iwe 4 wheel.Cc 1490 ndo 1500
Ungesema suzuki carry cc700 ina 4wd
Naweza nikakutafuta.12 milion
OK, ni pmNaweza nikakutafuta.