wataalamu wa madishi

wataalamu wa madishi

Izzo G

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
414
Reaction score
62
ndungu zang kwa sisi wa mikoan nadhan toka dhaman tunatumia madish me npo morogoro dish lang la futi sita na receiver yang ni mediacom ya korea nimefunga lnb moja napata itv,eatv, star tv,capital,na tbc nataka kuongeza ku band moja na c band moja je ntapata chanel zp? naomben frequency na symbol rate za hzo chanel pamoja na satellite zake na nifunge vp kuzpata vizuri na nyng zaid. nawasilisha
 
za naijeria kama nolliwood. ctl. emanuel tv zambia pia ipo na nyingine nyingi
 
ku band utapata nyingi ni za dini,ambazo zipo kusini mwa afrika,c band utaweza pata chaneli nyingi za kiarabu kama aljazeera,press tv,na hata cctv,na nyingine nyingi,na kama lingekuwa ni la inchi 8 ungepata nyingi sana na nzuri zaidi.
 
Back
Top Bottom