selemangrace346
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 468
- 639
SawasawaNdoto hiko wazi kabisa na inajitafsiri! Hapo ndo ulipokwama kwenye mitihani ya maisha unafeli
🙆🙆🙆🙆🙆Siku ukiota umeingia chooni, usije ukajaribu kujisaidia...😜
Mambo mrembo...🙋♂️🙆🙆🙆🙆🙆
Poa handsome, uko poa?Mambo mrembo...🙋♂️
tafsiri nzuri ila hapo kwenye ushirikina mzeeselemangrace346 pole mkuu, ndoto huwa inaonesha mambo yanayoendelea ktk ulimwengu wa kiroho kabla hayajatokea katika macho.
Tafsiri ya ndoto hiyo, ni kwamba unarudi nyuma kimaisha kwasababu unaota upo shuleni wakati ulishamaliza, pia kuna watu wanakufanyia ushirikina ili usiongezeke ktk maisha yako. ndio maana unazuiwa kuingia kwenye mtihani nakadhalika.
ushirikina ni hata kumnenea mtu mabaya, wachawi wanafanya kazi kwa maneno pia.tafsiri nzuri ila hapo kwenye ushirikina mzee
I love you too...😘Poa handsome, uko poa?
I love you more.I love you too...😘