Wataalamu wa kuprint LABELS,

Wataalamu wa kuprint LABELS,

dmatemu

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2008
Posts
956
Reaction score
553
Wakuu, natafuta wataalamu wa kuprint LEBO, POSTERS na BROCHURES kwa bei nafuu inayotia moyo kufanya nao kazi. Naomba kwa yeyote anayewafahamu au kuhusika na wataalamu wa mambo hayo wanisaidie niweze kuwapata.
 
contact Kiangwa Trading Co at Lumumba/Livingstone street DSM cell 0685295720 or 0755515704
 
Back
Top Bottom