Wataalamu wa kucrack window kwa kutumia loaders.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wataalamu wa kucrack window kwa kutumia loaders..

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by July Fourth, Aug 20, 2012.

 1. July Fourth

  July Fourth JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 2,288
  Likes Received: 546
  Trophy Points: 280
  Wakuu msaada, pc ilizengua so nikashut down, kuwasha ikanambia there's problem kwahiyo inafix.. Ikakaa muda mrefu nika click cancel. Ikasema "u nt allowed to cancel" so nikaclick btn ya power off/on. Kuwasha nikastart window normally, ilivyowaka nakuonesha icons, ikanambia ur window aint genuine.. Baada ya muda ikawa nyeusi.. So nikatmia loader. Window ikawa genuine. {window 7} bt screen ikaendelea kuwa nyeusi, bt window ni genuine.. So nikachukua cd nikainstall upya na nikajaza product key vizuri, cha ajabu ikaendelea kuwa nyeusi,
  naombeni msaada wakuu. Heshma yenu..
   
 2. Shaffin Simbamwene

  Shaffin Simbamwene Verified User

  #2
  Aug 20, 2012
  Joined: Nov 16, 2008
  Messages: 1,154
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  jaribu kuweka wallpaper yoyote then utujuze kama inabadilika au?
   
Loading...