Download hilo file kisha extract na ucopy dload folder kisha liweke kweny memory card..ukipata memory ya 2gb ni vizuri..hakikisha umeformat kabla ya kuweka dload kweny hiyo memory yako.
Kisha weka memory kweny simu yako then izime kabisa alafu bonyeza volume up na volume down kwa pamoja kisha hold button ya kuwasha simu mpaka menyu ya updates itokee then achia button zote hadi imalize