Hiki ndicho kinachohitajikaDifferentiation naona kama mgawanyo wa majukumu katika jamii, kwamba Rika flani majukumu yao ni haya na haya,
Vijana Wa kiume umri flani hadi flani majukumu yao ni maybe ulinzi, wazee kutoa ushauri kwa wafalme/machifu/viongozi wa sehemu husika n.k, sasa huo mgawanyo wa majukumu ulisaidiaje kujenga jamii/taifa imara?
Narudia tena point ni zile zile
.poor government support
.Poor climate condition
.Poor tansports & communication
.Poor infastructure
.poor......
Lack of government support
Lack transport & communication
Lack......
Availability of government support ....
Availability of transport & communication ......
Availability of......
I ndo Tanzania yetu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo angalia vitu kama intermarriage, population growth, ethnicity, Social economic status, economic activities and system of administration lakini majibu yako lazima yawe katika mfumo wa case(case study) maana swali limesema in different parts of the world so utatakiwa kutoa case za jamii mbalimbali duniani. Kwa mfano jamii ambazo zilikuwa na high population growth zilidevelop mapema zaid kuwa state kuliko jamii zilizokuwa na population ndogo maana zilipata nguvu kazi ya kutosha na jeshi kubwa lilisaidia katika kupata makoloni (hapa unatoa mfano wa hiyo jamii unaihusisha na point yako unaweka kituo kikubwa unaenda point nyingine).Nisaidieni hili swali, account for contribution of social differentiation in the formation of state in different parts of world
Hapo angalia vitu kama intermarriage, population growth, ethnicity, Social economic status, economic activities and system of administration lakini majibu yako lazima yawe katika mfumo wa case(case study) maana swali limesema in different parts of the world so utatakiwa kutoa case za jamii mbalimbali duniani. Kwa mfano jamii ambazo zilikuwa na high population growth zilidevelop mapema zaid kuwa state kuliko jamii zilizokuwa na population ndogo maana zilipata nguvu kazi ya kutosha na jeshi kubwa lilisaidia katika kupata makoloni (hapa unatoa mfano wa hiyo jamii unaihusisha na point yako unaweka kituo kikubwa unaenda point nyingine).
Usipojua ulikotoka huwezi kujua unakokwenda. Wazungu, kwa mfano, wamefanikiwa kuitawala dunia kwa kutufundisha historia iliyochakachuliwa inayotufanya tuamini kuwa sisi weusi tumelaaniwa na hatujatoa mchango wo wote katika maendeleo ya dunia hii; na kwamba bado tuna unyani unyani ...masomo yasiyokuwa na faida yoyote maishani ndo kama haya