Naomba mnisaidie kanuni za kutafuta divisheni katika matokeo, yaani nimeisha ingiza matokeo kwa mfumo wa grades kwenye spread sheet ya excel, so Nataka nipate points pamoja na divisheni.

Inategemea ponts zako na divisheni zina vigezo gani? Unaweza kutumia IF function ikakurudishia points na division unazozitaka. Wataalam watakupa mwanga zaidi
Naomba mnisaidie kanuni za kutafuta divisheni katika matokeo, yaani nimeisha ingiza matokeo kwa mfumo wa grades kwenye spread sheet ya excel, so Nataka nipate points pamoja na divisheni.
Naomba mnisaidie kanuni za kutafuta divisheni katika matokeo, yaani nimeisha ingiza matokeo kwa mfumo wa grades kwenye spread sheet ya excel, so Nataka nipate points pamoja na divisheni.
Hakuna asiyekubali uwezo wa Excel lakini linapokuja suala la grading na calculation ya matokeo kwa kufuata mifumo ya NECTA na taratibu za Tanzania ShuleMax ni inaongoza, tafadhali tembelea website yetu www.shulemax.co.tz
Unaweza kuwasiliana na nasi moja kwa moja masaa 24 kupitia 0757449054
Tunatoa trial ya siku 15 ambayo itakuruhusu utumie software ikiwa na modules nyingine kama students registration, students editing, deletion & promotion, calculator, results editor, score submission system, report cards generator, sms, data backup & restore.
Baada ya siku 15 unaweza kulipia, kuongeza muda zaidi soma zaidi kuhusu trial hapa: Trial - ShuleMax