Wasalaam Nyote
Wakuu nina shida ya wataalam wa VideoCamera hasa zinazotumia DIV. Kwa bahati mbaya DIV zangu za tukio la sherehe yangu zimepata hitilafu ktk upande wa sauti/audio inakatakata ila video zinaonekana fresh kabisa, ninaomba kupata mtaalamu/kuungwa na maExperts wa kutatua tatizo hili, nasikia wapo ila sijui nawapata wap..?
Naomba wajuvi wa swala hili mnisaidie niweze nusuru kumbukumbu za tukio hili muhimu..
Thx in Advance...