Wataalamu wa AFYA & SHERIA.

Investaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2015
Posts
913
Reaction score
923
Habari wataalamu.

Kama title inavyojieleza above, nina swali kuhusu campaign ya mambo ya afya kama yanaruhusiwa kisheria kufanywa kwenye app au social media. Mfano clinic ya meno, inatoa discount ya 50% ya wagonjwa 10 wa kwanza wanaosumbuliwa na meno, watakao wahi kulipia watapata discount ya 50%.

Mathalani bei za huduma ni kama zifuatazo:

1. Kungóa meno ni 100k(50% discount)
2. Kusafisha meno 60(50% discount)
3. Kupachika meno bandia 100k(50% discount)

Hii imekaaje kwenye sekta ya afya na sheria. Je ni kosa kufanya matangazo kama haya public?

Ni hayo tu am out.
 

Sioni kama kuna kosa kufanya matangazo hayo kama sehemu ya kuhamasisha watu kujua hali ya afya zao za kinywa na meno pamoja na kupata matibabu tena kwa punguzo.

Hakuna sheria inayozuia kutoa elimu na kuhamasisha watu kutafuta huduma za afya na kupata matibabu ya matatizo ya kiafya watakayokutwa nayo.
 
Pamoja sana
 


Nimepitapita kwenye google nimekutana na hizi mambo hapo juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…