Seneta Wa Mtwiz JF-Expert Member Joined Sep 23, 2013 Posts 3,643 Reaction score 4,184 Oct 10, 2019 #21 feyzal said: Ulikua unatafuta nini kwenye huo mkoba? Click to expand... Acha ubwege wewe, Kupekua ni muhimu!!!
feyzal said: Ulikua unatafuta nini kwenye huo mkoba? Click to expand... Acha ubwege wewe, Kupekua ni muhimu!!!
Seneta Wa Mtwiz JF-Expert Member Joined Sep 23, 2013 Posts 3,643 Reaction score 4,184 Oct 10, 2019 #22 Mr.Junior said: Bro unapekua mikoba ya mdogo wako wa kike? Click to expand... Lazima apekue kwa maslahi mapana ya familia!!!
Mr.Junior said: Bro unapekua mikoba ya mdogo wako wa kike? Click to expand... Lazima apekue kwa maslahi mapana ya familia!!!
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,811 Reaction score 110,060 Oct 10, 2019 #23 Na ikiwa kaukwaa? Barn said: Asante mkuu ni sahihi nipo mbeya nikajua dogo ameukwaa Click to expand...
Na ikiwa kaukwaa? Barn said: Asante mkuu ni sahihi nipo mbeya nikajua dogo ameukwaa Click to expand...
feyzal JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 8,947 Reaction score 18,448 Oct 10, 2019 #24 Bwege wewe unayepekua mikoba ya dada zako bila ruhusa zao...hiyo ni tabia ya kike Seneta Wa Mtwiz said: Acha ubwege wewe, Kupekua ni muhimu!!! Click to expand...
Bwege wewe unayepekua mikoba ya dada zako bila ruhusa zao...hiyo ni tabia ya kike Seneta Wa Mtwiz said: Acha ubwege wewe, Kupekua ni muhimu!!! Click to expand...
A Albinoomweusi JF-Expert Member Joined Oct 28, 2016 Posts 3,485 Reaction score 8,667 Oct 10, 2019 #25 sina demu said: Huyo wame mchukua kumfanyia majaribio ambapo wamemwekea vimelea vya ukimwi afu wanatest dawazao kamazinafanyakaz Click to expand... Yawezekana pia ana ngoma nao wanafanya majaribio. Ya dawa kwake
sina demu said: Huyo wame mchukua kumfanyia majaribio ambapo wamemwekea vimelea vya ukimwi afu wanatest dawazao kamazinafanyakaz Click to expand... Yawezekana pia ana ngoma nao wanafanya majaribio. Ya dawa kwake