Habari wanajamvi?
Kwa mtu anaefahamu juu ya dhana ya "unyanyasaji wa kiuchumi" sina hakika kama hii ni dhana au falsafa lakini naombeni mnijuzi kwa udadavuzi tukuka ili nielewe.
Nawasilisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.