Wataalamu njooni hapa

Mkuu inaonekana hauishi na watu vizuri, hilo linakupelekea kuwa na hofu kila wakati ukihofia kuwa unawindwa

Hata watu wanaoishi na watu vizuri hulogwa
 
Mkuu kwanini?mjini hakuna kuaminiana kwenye mambo ya vyakula
wewe umejuaje kama huo uji umepewa kwa nia mbaya ?

mbona umewawazia majirani zako mabaya hivyo ? au kuna siku wameshawahi kukufanyia ubaya!

daah, wewe jamaa una roho mbaya aisee
 
Mbona huu uzi hauna udini?? Punguza unnecessary complications… huyu ana wasi wasi na alichopewa, humu Tz kuna kitu kinaitwa zongo.
Usiombe ukutane nayo.
 
wewe umejuaje kama huo uji umepewa kwa nia mbaya ?

mbona umewawazia majirani zako mabaya hivyo ? au kuna siku wameshawahi kukufanyia ubaya!

daah, wewe jamaa una roho mbaya aisee

Mkuu watu sio wazuri anaweza kukuchekea kumbe anakuroga rohoni
 
Mbona huu uzi hauna udini?? Punguza unnecessary complications… huyu ana wasi wasi na alichopewa, humu Tz kuna kitu kinaitwa zongo.
Usiombe ukutane nayo.

Sisi ni majobless yeye ni jobness
 
Wewe unacheza na afya yako mimi hata Kula kwenye mgahawa mmoja siwezi kabisa, Swala la afya nakuwa na nadharia eti utaonekanaje mimi sitaki huo Ujinga haya mfano umekunywa na wameweka kitu kibaya umo huoni una gamble na life lako mzee? Mimi siamini katika uchawi ila napenda kula sehemu nafsi imeridhia
 
Kwann umeelekea upande huo wa dini, kuliko kubaki na hisia za kawaida kama uchafu, kujipendekeza kulikopitiliza, ukorofi wa mwenyenyumba( akiwa mkalimu hivyo kuna kitu analenga), tabia za kishirikina.
 
Mkuu lengo la huu uzi sio kushambulia imani au kuleta chuki hapana…Context yangu ni kwa mtu yoyote hata kama sio mambo ya kufturu
halafu kumbe unaanzaga kula bila kusali mkuu.Ungesali kwa imani yako kabla ya kuanza kunywa uji,hata kama kuna kitu kibaya hakiwezi kukudhuru.
 
Kwann umeelekea upande huo wa dini, kuliko kubaki na hisia za kawaida kama uchafu, kujipendekeza kulikopitiliza, ukorofi wa mwenyenyumba( akiwa mkalimu hivyo kuna kitu analenga), tabia za kishirikina.

Kisa yeye sio jobless
 
Tatizo sio kupewa uji,tatizo ikiwa mtu anania mbaya na wewe anawezakutumua hiyo fursa kukudhulu
Kwanini unawaza kua waliokupa uji wana nia mbaya na wewe? Kwanini usiwaze kua umekaribishwa tu hasa huu mfungo wa ramadhani?

Au ni kwavile huo uji umetoka kwenye "Kanyumba ka uswahili?" Ungeletewa huo uji na "Nyumba ya uzungu" usingekua na hayo mashaka?
 
Yaani uchawi akuletee waziwazi hivyo ndio kwanza nakusikia wewe. Hiyo ni kawaida ya Waislam mwezi huu wa Ramadhani kuwa wakarimu ndio moja ya lengo la mwezi mtukufu. Na ndio maana hata kufuturu huwa wanafuturu nje ili mtu yeyote anaepita aweze kukaribishwa kufuturu
 
Nimeishi uswazi nimekunywa sana uji wenye ladha kama pilipili ambao tulikuwa tunaletewa na majirani zetu waislamu kipindi cha mfungo.......nafikiri ni sehemu ya ku share ukarimu unaotokana na hiyo ibada yao ya mfungo.
 
Kuletewa uji sio jambo baya…Just imagine kama akiwa na nia mbaya na wewe huoni ni fursa ya kukumaliza?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…