Wamekuletea kwa nia njema tu mfungo huu hawanaga choyo wenzetu hata kama wanacho kidogo mtakula tu.Wanajamii nahitaji msaada wenu kidogo…Mimi hapa ninapokaa kwa mbele kuna kanyumba ka uswahili sasa muda wa kufturu umefika nikaletewa uji,kuletewa nikaona aibu ikabidi nyinwe tu maana ningeonekana vipi kwa watu au labda na ringa…ule uji nimekunywa kama robo hivi kikombe,mwingine nimeingia home nikamwaga,na nikaenda chooni kutapika nikahakikisha uji wote umeisha…Swali langu,je kama mtu alikuwa na nia mbaya na mimi kupitia hicho kiwango kidogo cha uji anaweza nidhulu au nilivyojitapisha bado naweza dhulika? Wakuu nipeni muongozo,nakumbuka kwetu niliambiwa usipewe vitu vya kula kula hasa kwa watu usiowaamini
Yah lakini anayekuroga sinkwa style hiyo.Mkuu,watu hurogwa hivi hivi
Weka picha ya uji uliotapika, na picha ya uji uliomwaga ili tufanye hebabu kujua kama utapata madharaWanajamii nahitaji msaada wenu kidogo…Mimi hapa ninapokaa kwa mbele kuna kanyumba ka uswahili sasa muda wa kufturu umefika nikaletewa uji,kuletewa nikaona aibu ikabidi nyinwe tu maana ningeonekana vipi kwa watu au labda na ringa…ule uji nimekunywa kama robo hivi kikombe,mwingine nimeingia home nikamwaga,na nikaenda chooni kutapika nikahakikisha uji wote umeisha…Swali langu,je kama mtu alikuwa na nia mbaya na mimi kupitia hicho kiwango kidogo cha uji anaweza nidhulu au nilivyojitapisha bado naweza dhulika? Wakuu nipeni muongozo,nakumbuka kwetu niliambiwa usipewe vitu vya kula kula hasa kwa watu usiowaamini
Wanajamii nahitaji msaada wenu kidogo…Mimi hapa ninapokaa kwa mbele kuna kanyumba ka uswahili sasa muda wa kufturu umefika nikaletewa uji,kuletewa nikaona aibu ikabidi nyinwe tu maana ningeonekana vipi kwa watu au labda na ringa…ule uji nimekunywa kama robo hivi kikombe,mwingine nimeingia home nikamwaga,na nikaenda chooni kutapika nikahakikisha uji wote umeisha…Swali langu,je kama mtu alikuwa na nia mbaya na mimi kupitia hicho kiwango kidogo cha uji anaweza nidhulu au nilivyojitapisha bado naweza dhulika? Wakuu nipeni muongozo,nakumbuka kwetu niliambiwa usipewe vitu vya kula kula hasa kwa watu usiowaamini
Ifike wakati ile maana ya 'home of great thinker'iondolewe ibaki tu kijiwe cha majobless yani mada zinazohusu kushambuliana kidini zimekua too much inaonesha hasa jinsi gani sisi makafiri tunawachukia wenzetu,hua namshangaa sana mtu anaemchukia mtu wa Imani tofauti na yake ilihali dini ni urithi tu kutoka kwa wazazi wako! the same aliezaliwa masai karithi umasai aliezaliwa na Christian karithi ukristo so chuki za nini hasa naona miezi ya jamaa wanapokua kwenye ibada zao za kubadilisha muda wa kula mada za kuwadiscuss zinazidi? Alafu nimegundua kitu nowdays hawana time na itikadi za zamani kubishana na system wamebailika kinoma wanapiga mambo yao kimya hawana sijui mihadhara vituo vya daladala sijui kwenye mabasi so chuki za nini juu yao?