Wataalamu Nishaurini hapa Kunani?

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,312
Reaction score
8,754
Ni binti Ambaye naweza kusema tulipendana sana katika historia ya mahusiano yangu!
Mwanzoni mwa Mwezi June in one day binti alikuja na Excuse hataki uhusiano wa kimapenzi tena!

ilifadhaisha sana na sikuweza kuamini ukizingatia tumekaa kama mwaka mmoja na miezi mi tatu pamoja, nikamuuliza sababu ni nini?

Binti akasema amechoka kumkosea Mungu (Uasherati), nafsi inamsuta kudanganya wazazi wake ili aje tu gheto kwangu.. Nikambembeleza sana ila akashikilia msimamo, ANATAKA KUTENGENEZA MAISHA YAKE KWANZA.

WanaJF Huyu Mwanamke Nilimpenda sana na sikuwahi tarajia kama kungekuwa na kuachana ukizingatia niliplan kumuoa awe mama watoto..

Katika kumsihi akaclaim kwamba MAYBE IF WE WERE MEENT TO BE.. Tutakutana tena..iliniuma na nikarun out of CONTROL, But Now Nimekaa sawaa NAMSHUKURU MUNGU!

Shida ikaja hapa, Binti Juzi alikuja kuniwish BirthDay.. Nikashangaa the way alivyokuja hisia zangu za Kimapenzi zikarudi tenaa...HUYU BINTI NAMPENDA..!

WanaJF Nipeni Advice.. Huyu Binti Namrudishaje Kuwa Wangu? au Nikubali Tu Matokeo ya kuachana?
 
mchunguze kama ana mwingine mpotezee
kama hana FIGHT FOR YOUR LOVE.
 
nipe namba zake nikusaidie labda amekuchoka ww sio tendo
maana lile tendo hakuna anayelichoka

Hajachoka tendo kiongozi, muktadha. Anataka alifanye kwenye mazingira sahihi.
 
Nyoooooooo!wewe nae ni mwanaume? Yaani unataka uendelee kumkunjaaaa unambilingita unavyotaka bila ndoa? Hatimae uje umpe mimba umfanye single maza? Naninaaa.... Mwaka mzima umemkodi kwa sh. Ngapi?? Nfyuuuuuuuuuu!
 
Huyo kapata mwanaume mwingine, learn to live your life and move on. Mwezi mmoja siyo mingi, muda ukipita utamsahau tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…