Jamani niki post tu kwnye thread yeyote akaunti yangu ya JF inaji Log out outmatically. Haka kaugonjwa kameanza jana na kana tokea pale ninapotumia kilaptop changu. nikitumia Li desk top la ofisini haiji log out. Hapa natumia desk top. Hebu nisaidieni wataalamu
Punguza bangi wewe
Then you would have advised me what to do if you were Mult talented