Wataalamu nisaaidieni

kanewi

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
298
199
naomba mnisaidie,hivi mwanamke kuwa na maji kwenye milija ya uzazi inasababishwa na nini?doctors wamemuambia mke wangu kuwa mirija ya uzazi imejaa maji na tatizo hili lina mazara gani?je kutokupata mimba ni moja ya mazara yake?,
 
Back
Top Bottom