Kwa hesabu uliyofanya na mapenzi mliyoyafanya unaweza kushika kweli mimba. Ngojea mpaka karibu na tarehe 9 mwezi unaokuja kapime mimba huenda ukawa unayo mimba hongera kwa mahesabu yako
Mpole mimi Na kama utakuwa na mimba basi tegemea kupata mimba ya mtoto wa kiume.