WATAALAMU MSAADA PLEASE

WATAALAMU MSAADA PLEASE

msabillah

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
4,763
Reaction score
3,204
Habarini ndugu zangu,
Naenda kwenye maada. Kunajamaa kaja kuniomba nimfromatie flash disc, sasa nilipochomeka badala ya kuformate flash nikaformat partition yaha hard disk yangu ambayo inakama GB 400 na something hivi.
Swali langu je naweza kurecover nikapata mzigo wangu wote? Maanda kuna vitu vya muhimu sana.
Mwenye kuelewa hii inshu please anaisaidie.
Natakunguliza shukrani.
 
Yes you Can
 
Ingia YouTube.

Ni rahisi ingawa itachukua muda.
 
Mdau amesema ngia YouTube . Ukimaliza tafuta software , Lipia then dig your mine
 
Hiyo software kama kiasi gani mkuu?
DISK DRILL PRO(Software)

Screenshot_2019-05-31 10 Best Data Recovery Software for Windows in 2019.png

Its Free!!
 
Alafu dunia kuna watu hatuna akili kweli brother aliyeandika huu UZI amesema WATAALAMU MSAADA" sasa cha kushanga eti hadi mimi nimekuja jamani sina taaluma yeyote
 
1.kitu cha kwanza hiyo hard disk yako usiweke mafile yoyote(ukiweka mafaili probability ya kurecover itakuwa ndogo sana,..)
2.download easeus data recovery tumia torrent kupata cracked
3.enjoy........
 
Nilijaribu kudownload nikainstall ila mwisho wasiku nikaambiwa niingize sijui key au sikui kusubscrib
 
Sijaweka chochote mpaka sasa. Hii inshu ya kupata crack ndiyo huwa siijui mkuu.
1.kitu cha kwanza hiyo hard disk yako usiweke mafile yoyote(ukiweka mafaili probability ya kurecover itakuwa ndogo sana,..)
2.download easeus data recovery tumia torrent kupata cracked
3.enjoy........
 
Sijaweka chochote mpaka sasa. Hii inshu ya kupata crack ndiyo huwa siijui mkuu.
nenda 1337x.to halafu search Easeus data recovery ukisha download utaifungua kuna maelezo jinsi ya kuinstall na kuiactivate.....
 
Back
Top Bottom