Wataalamu, hii tunaitaje?

Hehehe nimecheka sana, hapo kachanganya kungfu, karate, taekwondo, Muay Thai yaani mpaka mbwa wakaona isiwe tabu wakageuza nduki.
 
Hiyo inaitwa makirikiri style a.k.a liwalo na liwe🀣🀣🀣🀣
 
Hehehe nimecheka sana, hapo kachanganya kungfu, karate, taekwondo, Muay Thai yaani mpaka mbwa wakaona isiwe tabu wakageuza nduki.
usiombee ukosee njia uibukie upande wao
 
Hiyo inaitwa break dance..πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…