JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
tayari fundi kanirekebishia
owk... Problem ilikuwa nini?
tayari fundi kanirekebishia
sema code ya kuweka siijui
fanya hivi:
login kama kawaida kwenye cpanel yako let say roundcube then logout hapo utarudishwa kwenye login URL ambayo ni short then ikopy hiyo URL halafu nenda huko kwenye mtotosix.info ufungue SUBDOMAIN inayoitwa mail ingawa baadhi ya free hosts huwa wanakataa usitengeneze subdomain inayoitwa mail
ukishatengeneza subdomain ingia kwenye file manager then navigate kwenye hiyo subdomain mail halafu utengeneze default file eg. index.html halafu
ukishatengezena index.html nenda kwenye HTML source editor uweke ile code ya kurefresh na timeout ambayo inaredirect kwenda kwenye URL ya kulogin uliyoicopy mwanzo
mfano: <META HTTP-EQUIV="Refresh" CONTENT="0;URL=https://mail.mtotosix.info/">
fanya hivyo mkuu ni so simple mimi nimeitumia hii trick kwenye roundcube na squirrelmail
refer mail.nyasiro.com
iyo mbona ni google mail bana nyasiro