nanga mstafu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 381
- 649
Eti ukikutana na Simba ukamwangalia usoni, atakimbia?, Mara wengine wanasema unaweza kupita mbele ya Simba ukiwa uchi asikudhuru akijua ni mnyama mwenzake, je ni njia sahihi ya kujiokoa na simba?
Kujiokoa na Simba waulize Yanga.