Wataalam Wa Utafiti Nisaidien

Ndani ya miaka sita ijayo engineering ipi itakua katika soko?

I cant predict the future, coz its too hard. By the way if you are in concern with our country TANZANIA, then hapa kwetu kitakachokuwa na soko ni biashara tuu, almost kila mtu atakuwa mfanyabiashara kwasababu waTZ tunapenda zaidi kununua kuliko kutengeneza. Tena ICT inavyowashika wengi, ndio kila mtu ataanza kuImport ICT na ELECTRONICS kutoka china
 
hebu tuangalie kiulimwengu kaka unadhani wapi kutakua na uwanja mkubwa?
 
hebu tuangalie kiulimwengu kaka unadhani wapi kutakua na uwanja mkubwa?

Kwa ulimwenguni, navyoona Computer engineering na electronic engineering. Ndio itakayoshika kasi kutokana na watu wanataka kuAutomate vitu, kurahisisha vitu, kuboresha mawasiliano na kutengeneza vitu vyenye IQ kubwa kama binadamu.
 
Sawa,vp sestem security engineering soko lake linalipa kwa ulimwengu?
 
Duuh' I Thought Electronic Boss
Sasa Tumeshatoka 3 Generation Na Tupo 3.5 Generation So Tunaenda 4 Generation
 
uchumi unategemewa kutanuka ghafla baada ya miaka tano ijayo.
sekta zifuatazo kwa uchache zitakuwa na tija.

utaalam sekta ya gesi.
ujenzi, makazi na miundo mbinu
umeme wa viwandani.
umeme mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…