FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,819 Apr 25, 2017 #82 nchemime said: Ufahamu tunatofautiana ni vizuri ukamkosoa mtu kwa lugha ya staha kuliko kumtusi tena kwa kuchanganya lugha Hivi ni mara ngapi we umekosea na watu wanachukulia poa tu chukuachako Click to expand... Tusi nililotukana liko wapi?
nchemime said: Ufahamu tunatofautiana ni vizuri ukamkosoa mtu kwa lugha ya staha kuliko kumtusi tena kwa kuchanganya lugha Hivi ni mara ngapi we umekosea na watu wanachukulia poa tu chukuachako Click to expand... Tusi nililotukana liko wapi?
nchemime Senior Member Joined Aug 13, 2016 Posts 139 Reaction score 220 Apr 25, 2017 Thread starter #84 FaizaFoxy said: Tusi nililotukana liko wapi? Click to expand... Punguani wahed
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,819 Apr 25, 2017 #85 nchemime said: Punguani wahed Click to expand... Hiyo ni sifa kamili ya kibinadam siyo tusi hilo. Lingekuwa tusi lisingeachwa na uongozi wa JF. Umeuona sasa upunguani wako, sifa unasema tusi. Makubwa!
nchemime said: Punguani wahed Click to expand... Hiyo ni sifa kamili ya kibinadam siyo tusi hilo. Lingekuwa tusi lisingeachwa na uongozi wa JF. Umeuona sasa upunguani wako, sifa unasema tusi. Makubwa!
Analyse JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 17,639 Reaction score 47,716 Apr 25, 2017 #86 Mwanga Lutila said: View attachment 500654 Click to expand... Huyu lazima awe mwafrika tu aliyeandika hivi. Tunapenda sana kupeana shida. Mcheki mwenzake huyu hapa
Mwanga Lutila said: View attachment 500654 Click to expand... Huyu lazima awe mwafrika tu aliyeandika hivi. Tunapenda sana kupeana shida. Mcheki mwenzake huyu hapa