Given Edward
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 850
- 203
Error! Cannot Connect To Database...
This error happens usually when backing up the database, please be patient...
Salamu wakuu. Ninacreate a wap community and nipo kwenye final touches lakini napata hii Error!!! message:
Tatizo ni nini? Naomba msaada wenu tafadhali. Ahsanteni, Nawasilisha.
Unatumia script gani? Cheki configuration file . inawezean kuna vitu kama
database name au passpword au Host name umekosea detail zake.
La sivyo anagalia Kwenye Phymyadmin kama database uliyocreate ipo na table zake zote zipo sawa na hazijawa corrupted au ziko kwenye suspect mode.
google jina la script unaytumia likiambatana na hiyo error message.
Kama script unayotumia ina forum jarijibu kucheki hukopia
BTN
Nakushauri jaribu kufanya sutafiti ya kutafuta free hsoting wanaotoa facility nyingi zaidi. binafisi natumia x10hosting.com
Au jaribu ku google na kusoma review za wataalam kuhusu "best free hosting 2011" kama hiii hapa
natumia lavalair/wapdesire script.
<?php
$dbname = "";
$dbhost = "";
$dbuser = "";
$dbpass = "";
$max_buds=100;
$topic_af = 20;
$post_af = 15;
$onver = true;
?>
<?php
include("../blocked.php");
include("config.php");
include("core.php");
//session_start();
header("Content-type: text/vnd.wap.wml");
header("Cache-Control: no-store, no-cache, must-revalidate");
echo "<?xml version=\"1.0\"?>";
echo "<!DOCTYPE wml PUBLIC \"-//WAPFORUM//DTD WML 1.1//EN\"". " \"http://www.wapforum.org/DTD/wml_1.1.xml\">";
?>
<wml>
<?php
$bcon = connectdb();
if (!$bcon)
{
echo "<card id=\"main\" title=\"(ERROR!)\">";
echo "<p align=\"center\">";
echo "<img src=\"../images/exit.gif\" alt=\"!\"/><br/>";
echo "<b>Error! Cannot Connect To Database...</b><br/><br/>";
echo "This error happens usually when backing up the database, please be patient...";
echo "</p>";
echo "</card>";
echo "</wml>";
exit();
........................................
19 echo "<b>Error! Cannot Connect To Database...</b><br/><br/>";
20 echo "This error happens usually when backing up the database, please be patient...";
..........
sasa details hizi unazotakiwa uingiza kwenye config zipo sawa na sahihi? Nadhani humo kua detail hujaweka ndio maana . File hili la config.php limo ndani ya file la wap
PHP:<?php $dbname = ""; $dbhost = ""; $dbuser = ""; $dbpass = ""; $max_buds=100; $topic_af = 20; $post_af = 15; $onver = true; ?>
KWa nini hiyo error inatokea ?
Angalia file la Index php lililomo ndani ya folder la wap
PHP:<?php include("../blocked.php"); include("config.php"); include("core.php"); //session_start(); header("Content-type: text/vnd.wap.wml"); header("Cache-Control: no-store, no-cache, must-revalidate"); echo "<?xml version=\"1.0\"?>"; echo "<!DOCTYPE wml PUBLIC \"-//WAPFORUM//DTD WML 1.1//EN\"". " \"http://www.wapforum.org/DTD/wml_1.1.xml\">"; ?> <wml> <?php $bcon = connectdb(); if (!$bcon) { echo "<card id=\"main\" title=\"(ERROR!)\">"; echo "<p align=\"center\">"; echo "<img src=\"../images/exit.gif\" alt=\"!\"/><br/>"; echo "<b>Error! Cannot Connect To Database...</b><br/><br/>"; echo "This error happens usually when backing up the database, please be patient..."; echo "</p>"; echo "</card>"; echo "</wml>"; exit();
Line ya 13 inatafuta ku-connect na db utumia fucntion hii $bcon = connectdb(); Na hii function detail zke zipo kwenye file config.php nililotaj hapo juu > sababu inashindwa kupat detail sahihi za config.php ndio maana unapata ujue huo amabo upo kwenye line 19 na 20
Index.php
PHP:........................................ 19 echo "<b>Error! Cannot Connect To Database...</b><br/><br/>"; 20 echo "This error happens usually when backing up the database, please be patient..."; ..........
So make sure database name hostname na password ziko sahihi. Sababu hiyo eero maana yke ni kuwa inashinwa u connec na database na sabbau kubwa ya kushindwa ni detail ulizoweka.
Hope umeelewa mkuu

Just what i was afraid of. No tables created.
Mtazamaji said:.....La sivyo anagalia Kwenye Phymyadmin kama database uliyocreate ipo na table zake zote zipo sawa na hazijawa corrupted au ziko kwenye suspect mode...............