Je mnazingatia kipato cha mtanzani au ndio muendelezo wa kupiga bei ambazo sio realistic?? Weka angalau bei elekezi tushawishike kukutafuta. Mimi nahitaji kisima kwa ajili ya shamba langu na bajeti yangu ni milioni tatu tu (3)
tupo dar es salaam na bei inakadiriwa kulingana na savey ya eneo but ml 3 unaweza kuchemba lkn ni chini ya m40 kama eneo ulilopo litahitaji mita zaidi haiwezekani