Hivi kwanini hawa jamaa wanapenda kujifanya wenyewe ndio wanakuza hii lugha yetu peke yao.., hivi kuna shida gani laptop ikiitwa laputopu.., calculator ikaitwa kalukuleta, website ikaitwa webusite.., haya mambo ya dadavuzi, luninga, tovuti, (na cash mashine sijui wala sikumbuki inaitwa nini..?)
Sasa.., Je inamaanisha desktop itaitwa Dadavuzi Dawati, Dadavuzi Meza au nini ?, Jamani waache lugha ikue kutokana na watuamiji mitaani, yaani maneno wanayotumia ndio hayo yatumike
:doh: Utafikiria mtu unajifunza lugha yako, ukubwani