Ni kuhusu music system/ Radio, nimesikia kila Nchi inatumia power supply tofauti tofauti mfano Tz tunatumia 220v, naomba mnisaidie hili nisije nikaingia chaka kuna mziki wameandika "power input is 100-240v 50/60 HZ" Je radio/ music system yenye specification hizo inaweza ku operate hapa Tz?
cc Transistor
usiogope hiyo inafanya kazi tz . tena bila shaka hiyo system inatumia SWITCHING POWERSUPPLY. yaani ni automatic inaweza kuOperate kuanzia 100V hadi 240V automatically bila kuhitaji manual voltage selection.Ni kuhusu music system/ Radio, nimesikia kila Nchi inatumia power supply tofauti tofauti mfano Tz tunatumia 220v, naomba mnisaidie hili nisije nikaingia chaka kuna mziki wameandika "power input is 100-240v 50/60 HZ" Je radio/ music system yenye specification hizo inaweza ku operate hapa Tz?
cc Transistor
Ahsante sana Mkuuusiogope hiyo inafanya kazi tz . tena bila shaka hiyo system inatumia SWITCHING POWERSUPPLY. yaani ni automatic inaweza kuOperate kuanzia 100V hadi 240V automatically bila kuhitaji manual voltage selection.
BEST WISHES
Ac power ni 50Hz kwa tzYeah, inapiga mzigo kabisa.
Input power inaelezea kiwango cha chini cha power ambacho radio inaweza ku sense na kurespond, Tz freq za ac power ni 60, so itapiga mzigo.
Kingine hizi device nyingi za umeme hutengenezwa kutumika katika nchi zote.
Ac power ni 50Hz kwa tz
Pole mkuuyeah nnalo waza ni tofauti na ninalo andika aiseee
Pole mkuu
yeah nnalo waza ni tofauti na ninalo andika aiseee
Kivipi sasa?Mkuu mkosoe bila ya kumbeza, kwani ukimwambia hizo ni frequency sio power itaku-cost nini?
Ac power ni 50Hz kwa tz
minimum 220V standardTanzania tupo sawa na Germany, France, Italy, Norway, Spain n.k wote ni 230Vac at 50hz
minimum 220V standard
240V
na maxium 250V kwa single phase
sawa mkuu but kwa IEE regulation nchi zenye frequency ya 50Hz standard single ni 240 then hao Tanesco umeme wana supply kwa customers ni chini kabisa ya 220 that y kunatokea matatizo ya low voltageSoma Tanesco wenyewe wanachosema hapa, Electricity Charges
Mexico wenyewe wanatuambia ni 120/240 single phase, lakini lazima kuwe n01- fixed inayotambulika, kama zilivyowekwa hapa Wall Plug and Voltage Standards Worldwide, plug styles, voltages, frequency 50Hz or 60Hz
acha kujifanya mjuaji utaonekana wa maana kama ungemjibu swali alilouliza, kama huna msaada piga kimya.
Wakuu kuna alternative iwapo nikanunua device inayotumia power supply ya 110v? Kuna kifaa cha Ku convert?