Wataalam wa computer naombeni msaada

Wataalam wa computer naombeni msaada

Wisest man

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
993
Reaction score
332
Wakuu pc yangu ilikuwa inaonesh herufi ndogo sana kwenye screen, kwahyo nkaamua kuifanyia setting,
Nikaenda kwenye properties nkafanya marekebisho kidogo, nkaona nikapata ujumbe fulani kama ni save change, nka-click baada ya hapo pc ikaji-off then ikaji-start ikaja na ujumbe huu,
" PRESS [TAB] to show screen, [DEL] to enter SETUP", hapa sijajua maana yake naomba msaada, window ni XP.
 
Press TAB tuone inakuaje, mkuu solutions zinazohusiana na IT ziko nyingi sana kama zilivo problems zake, windows os ni user friend yenyew ndio inakufundisha wew uitumie ebu jaribu jaribu alafu utupe feedbak
 
Mkuu kilichonishinda ni kuju TAB ipo wapi kwenye keyboad, naomba unijulishe ilipo TAB kwenye keyboad.
 
Mkuu kilichonishinda ni kuju TAB ipo wapi kwenye keyboad, naomba unijulishe ilipo TAB kwenye
keyboad.

Down here is the basic layout ya keyboard kwa kompyuta zitumiazo Windows OS...

keyboard850.jpg
 
Tab key button ya kwanza kabla ya caps lock key
 
nilichogundua Tanzania watumiaji wa computer ni wengi lakini hawa pendi kujifunza basic knowledge of using computer,kama leo ungekuwa umejifunza hata typing usingehangaika kujua Tab key nini
 
Mkuu, hata picha unashindwa kusoma. Angalia hapo unapobadilishia herufi kuwa kubwa, pameandikwa caps lock, batani inayofuatia hapo juu ndio TAB yenyewe.
 
Mkuu watu8 mimi hapo sijakuelewa, nataka kujua tu TAB iko wapi.

First column third row on your left...

Upande wa kushoto kuna kitufe kimeandikwa TAB, juu ya maandishi CAPS LOCK
 
First column third row on your left...

Upande wa kushoto kuna kitufe kimeandikwa TAB, juu ya maandishi CAPS LOCK

Mkuu watu8 asante na tatizo nimefanikiwa kulitatua, ila kwenye keyboad yangu hakuna kitufe kilichoandikwa TAB.
 
Mkuu watu8 asante na tatizo nimefanikiwa kulitatua, ila kwenye keyboad yangu hakuna kitufe kilichoandikwa TAB.

Kama umefanikisha basi kheri...ila hiyo keyboard yako itakuwa ya aina gani mkuu?
 
Back
Top Bottom