Wataalam na Wabobezi wa Physiotherapy naombeni ushauri

Wataalam na Wabobezi wa Physiotherapy naombeni ushauri

brave Mwafrika

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2019
Posts
248
Reaction score
143
Mimi ni muhitimu wa Kidato cha nne 2022.

Nimefanya selection za kwenda chuo na nimependekeza kozi ya physiotherapy Chuo cha Bugando, Kilimanjaro na Mbeya.

Naomba kujua kama kozi niliyo chagua nitaweza kupata kazi pindi tu nitakapo maliza?
 
Ndio maana mnatakiwa muende high school kwanza ili akili ikomae.
 
Chagua kozi unayoipenda yaani ambayo utakuwa tayari kuitumikia hata kama utaamshwa saa 9 usiku yaani hata bila pesa- usiangalie pesa kwanza mkuu
 
Umepangiwa Chuo gan Mkuu Maana mimi mwenyewe nlifanya selection kama wewe tuu
#nimepangiwa Kilimanjaro college of health and allied science, kipo Moshi.
Ila nimechaguliwa kozi ya nursing but natalajia kwenda chuo alafu nibadili
 
Back
Top Bottom