Wataalam na bunduki

Utashi ni hiari ya jambo.
Unafahamu chanzo cha utashi?
Swadakta! Hata mimi nakubalina na wewe. Utashi ni hiari ya kufanya jambo au la. N zaidi si hiari tu ila hiyo hiari inaendana na akili ya kujua hiki ninachofanya ni kizuri au kibaya na kina madhara gani. Hili hswa ndilo linalotutofautisha na wanyama. Kwa hiyo basi kwa upande wangu naona ni ''safe'' mtu anaposema utashi chanzo chake ni uwezo wetu wa kiakili na roho tulizopewa.
 
Shukrani kwa mchango.
 
IliIli upone inatakiwa ule mlenda ,risasi itateleza
Inaonyesha we mweupe sana kichwani,na ushauri wako bilashaka watu wako wa karibu huwa hawautilii maanani na ndiyomaana hawakulaumu.
Pole lakini,dunia inakuhitaji pia.
 
Inaonyesha we mweupe sana kichwani,na ushauri wako bilashaka watu wako wa karibu huwa hawautilii maanani na ndiyomaana hawakulaumu.
Pole lakini,dunia inakuhitaji pia.
 
Punguza mahaba wewe, upoteze damu asilimia 90 na upone?
Ndio ujiulize ilikuwaje kapona? Sasa risasi 16 zimeingia mwilini unafikiri alipoteza damu kihasi gani? Ushawahi kushuhudia mtu aliyepigwa risasi? Sasa fikiria tundu 16 ndani ya mwili damu kihasi gani itavuja?
 
inategemeana na mwili wako sheikh! mfano mwili wa lemutuz unauwezo wa ku obsorb hata risasi sabini na asifeel kitu.
 
Hivi ukipigwa risasi mbili tu, TUMBONI hivi unapona?

Mpka sasa kuna jambo silielewi
Inategemeana imepigwa tumboni sehemu gani.
Siraha gani imetumika kupiga katika tukio Hilo.
Mpigaji alikua umbali gani na muathrika.
Mpigaji alikua kasimama pembe ipi (angle gani kutoka kwa muhusika).
Na muathrika ametumia muda gani kupatiwa huduma ya Kwanza.

Mambo Ni mengi
 
SMG ata mita 1000. Inaua endapo itakupata kuanzia kifuani kwenda juuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…