Mapolomoko JF-Expert Member Joined Feb 16, 2013 Posts 1,751 Reaction score 422 Mar 27, 2013 #1 Inasemekana kutokana na wingiwao wameitana majina mpaka yameisha sasa wamekuwa kama wa china. mashamba,mchele,maliwa,mahalage,makonda,ndelema,mavuno,masanja,bojiko,mang'ombe,mbuli,makoye,madilisha na nk.kumbuka 'r' kwakisukuma haipo
Inasemekana kutokana na wingiwao wameitana majina mpaka yameisha sasa wamekuwa kama wa china. mashamba,mchele,maliwa,mahalage,makonda,ndelema,mavuno,masanja,bojiko,mang'ombe,mbuli,makoye,madilisha na nk.kumbuka 'r' kwakisukuma haipo
Yegomasika JF-Expert Member Joined Mar 21, 2009 Posts 13,164 Reaction score 61,278 Mar 27, 2013 #2 Wewe naona una utani na Wasukuma, kwani kabla majina hayajaisha walikuwa wanaitwa akina nani?.
Fekifeki JF-Expert Member Joined Nov 18, 2011 Posts 1,550 Reaction score 700 Mar 27, 2013 #3 Nasikia Wasukuma wanaume wanatisha kwa kufuga MAJOGOO makubwa!! Polepole ndugu zanguni!
Zamaulid Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 20,334 Reaction score 16,788 Mar 27, 2013 #4 Fekifeki said: Nasikia Wasukuma wanaume wanatisha kwa kufuga MAJOGOO makubwa!! Polepole ndugu zanguni! Click to expand... ni kweli ila si wajuzi wa kuyatumia!!
Fekifeki said: Nasikia Wasukuma wanaume wanatisha kwa kufuga MAJOGOO makubwa!! Polepole ndugu zanguni! Click to expand... ni kweli ila si wajuzi wa kuyatumia!!
PLATO MAGELE JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 203 Reaction score 54 Mar 27, 2013 #5 Zamaulid said: ni kweli ila si wajuzi wa kuyatumia!! Click to expand... Una uhakika?
UmkhontoweSizwe Platinum Member Joined Dec 19, 2008 Posts 10,047 Reaction score 9,346 Mar 27, 2013 #6 Ongezea: Sahani, Shikombe, Mapanga, Magufuli, Magembe, Mang'ombe, Mabele (maziwa), Maguta (mafuta), etc.
Ongezea: Sahani, Shikombe, Mapanga, Magufuli, Magembe, Mang'ombe, Mabele (maziwa), Maguta (mafuta), etc.
Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,236 Reaction score 26,770 Mar 27, 2013 #7 PLATO MAGELE said: Una uhakika? Click to expand... Na wewe ni kama unabisha,we ndo una hakika
Zamaulid Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 20,334 Reaction score 16,788 Mar 27, 2013 #8 PLATO MAGELE said: Una uhakika? Click to expand... mke wangu huwa ananisimlia!!