Wasukuma watamu mno!

Bro kumbe huwa mnatuona kama wanaume wenzenu sioπŸ™†πŸ½β€β™€οΈ
Hapana My Seran, zingatia nimetaja kwa mtazamo wangu juu ya mwanaume gumegume rijali " alpha male" . Unaweza ukafanya utafiti kwa sababu hawa " alpha male" wapo maeneo mengi.
 
Anhaa sawa hapo nimekuelewa vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…