Kwanza usichokijua ni kwamba hakuna kitu kama Wasukuma, jina Wasukuma lilitungwa na Wazungu, wazungu waliamua tu kuwaita watu wanoishi Eneo hilo, Wasukuma yaani maana yake watu wa kutoka kaskazini, sasa watu wa kaskazini ni kina nani hao ni wote wanaoishi Kaskazini mwa mwa Ziwa Nyanza kuanzia Wanyankole wa Uganda, Wanyarwanda mpaka hawa wa kwetu, na ndio maana hakuna kitu kama Lugha ya Kisukuma hicho mnachoita kisukuma hakipo ni Lugha tu iliyovumbuliwa na Wazungu kama vile Kichaga hakuna kitu kama Lugha ya Kichaga, au sijui Kihaya hakuna kitu kama hicho!
Hivyo ulipaswa uanzie hapo, kujitambua kwanza kwamba wewe ni Mtanzania angalau ni jina tulilojipatiza wenyewe (Waafrika) kuliko Usukuma au sijui Uchaga ambayo tulibatizwa na wazungu!