Charliemic
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 604
- 979
Kweli kabisaaaaaa haswa wakipanda kwenye gari jamaniiii mmmh .......mtu haongei alikotoka anasubiri apande kwenye gari atakavyoanza kuongea hivyoooo uuuuwiiiiiiiNina marafiki wengi saana wa kabila la wasukuma! Hawa jamaa ni mabest zangu mno na nimetokea kuwakubali saana.
Ila nilichokigundua toka kwao, hawa jamaa wanapenda saana kuongea na simu. Sio wote ila wengi hupenda saana simu asee
kumbe eenhHujakutana na wahehe wewe
Wasukuma wamezidi