Waluguru mjitahidi mrefuke mkuu.Wanunuzi wazuri wa sub-woofers ni wasukuma, lazima majirani wajue ana mziki mnene.
Badala ya kununua headphones za maana, wananunua speakers kubwa.
Heri yetu waluguru tupo soft-spoken..
Speaking of huyo aliekuwa Nyuma Yako..vipi hukuwa unahisi joto? mana nasikia siku hizi imekua ngumu kuwatenganisha wasukuma na Juma Nyosso!Leo nimepanda Basi toka Mkoa mmoja wapo wa Nyanda za Kusini naelekea Kanda ya Ziwa nikiwa na shauku kubwa kwakuwa tulipita njia ambayo nilikuwa nikiisikia sifa yake kuwa si rafiki hasa pale mkipata tatizo mnaweza kaa hata siku2 bila msaada, kufika eneo flani linaitwa Lupa wakapanda Wasukuma kama4 hivi, sasa wakaanza kupiga simu na wengine kupigiwa, mmoja alikuwa nyuma yangu, mwingine pembeni na mbele yangu, aisee hizo sauti naona walifikisha volume100%, nikaanza kujisachi labda kama nawezakuwa na ear-plug mfukoni nikakosa, nikatamani tufike sehemu network ipotee kabisa lakini wapi, inabidi kesho nikapime masikio, na safari nilio a mbaya na sipiti tena hiyo njia. Wasukuma mnaboa bhana.
Hizo story tu.Waluguru mjitahidi mrefuke mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaaa hata ungevaa earphones wangezizid, umenikumbusha jamaa yangu Shija alipopokea boom akaenda town kununua nguo za mitoko, anarud ananionesha nguo kila anayotoa akiweka kitandan n pajama la mchele mchele, wazee nilichekaaaa....... kila nikitaka kuacha akitoa jingne naanza mwishowe nikaanguka nikajigonga mlangoni mpk leo nina alama, Kila nikikumbuka lile tukio nacheka sanaa, Moja alinipa ninalo mpk leo la ukumbusho, Ila n watu fresh sanaaa, His was one of my best friend kwa kweli, with our better days and better campan, asaiv majukumu yanatubana, Hakuna kitu kizur kama kua na marafk wazur asee.
Makongorosi,Lupa,Kambikatoto,Itigi,Singida to Mwanza.Dah umenikumbusha maeneo ayo mkuu,ila tulikula vumbi balaa😂😂Leo nimepanda Basi toka Mkoa mmoja wapo wa Nyanda za Kusini naelekea Kanda ya Ziwa nikiwa na shauku kubwa kwakuwa tulipita njia ambayo nilikuwa nikiisikia sifa yake kuwa si rafiki hasa pale mkipata tatizo mnaweza kaa hata siku2 bila msaada, kufika eneo flani linaitwa Lupa wakapanda Wasukuma kama4 hivi, sasa wakaanza kupiga simu na wengine kupigiwa, mmoja alikuwa nyuma yangu, mwingine pembeni na mbele yangu, aisee hizo sauti naona walifikisha volume100%, nikaanza kujisachi labda kama nawezakuwa na ear-plug mfukoni nikakosa, nikatamani tufike sehemu network ipotee kabisa lakini wapi, inabidi kesho nikapime masikio, na safari nilio a mbaya na sipiti tena hiyo njia. Wasukuma mnaboa bhana.
Hao ndio wanaume wa mikoani hakunaga kurembaremba ulitaka waongee kama mashoga?Hilo ni kweli Mkuu nimewahi kukutana nao hawa Jamaa. Nilikuwa nakuja mikoa ya kusini nikapanda nao gari moja. Asee wanatumia nguvu nyingi kuongea bila kujali walio karibu yao.